Top Ad unit 728 × 90

YOUNG KACHA KUJA NA WALTER CHILAMBO NA NGOMA KALI HIVI KARIBUNI

Dogo anayekuja kwa kasi na vizuri kwenye game akitambulika kwa jina la Young Kacha a.k.a Mr Dear FaceBook au waweza Muita Kaka wa Young Killa kutokana na kutoa remix ya Dear Gambe na kuifanya poa zaidi ya Dear Gambe (Dear Facebook) na ndo huyohuyo pia aliyetoa track akimshirikisha Darassa na Mkenya aitwaye Milltana nyimbo ikiitwa Traveler (Msafiri) Sasa amewaomba mashabiki wake wakae ule mkao wa furaha kutokana na muziki mzuri anaouandaa, amekuwa akisinda studiona Yule Tajiri wa EBSS mwaka jana WALTER CHILAMBO kwa ajili ya kuandaa project hiyo……
…………….KAA MKAO WA KUPOKEA NGOMA HIYO HIVI KARIBUNI……………..

YOUNG KACHA KUJA NA WALTER CHILAMBO NA NGOMA KALI HIVI KARIBUNI Reviewed by Unknown on Wednesday, August 07, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.