Top Ad unit 728 × 90

Victor John aka Veejay na Album ya "Nimezaliwa Tena"

Victor John aka Veejay msanii chipukizi katika muziki wa injili, amebarikiwa kukamilisha album yake ya kwanza na anafurahi kuwatangazia wapendwa katika bwana Album ya "Nimezaliwa Tena" inayotambulishwa kwa single ya MBELE KWA YESU,download HAPA ,Album kamili ina nyimbo nane na tracks kumi jumla sasa itapatikana kote nchini kwa mawasiliano naye Victor John kwa simu nambari +255 716 941 696 ,Support Muziki wa Injili,Support Hiphop Gospel kwa kununua kazi halali ili kuwanufaisha wasanii wa Nyumbani powered by www.vmgafrica.com
Victor John aka Veejay na Album ya "Nimezaliwa Tena" Reviewed by Unknown on Wednesday, September 04, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.