Top Ad unit 728 × 90

Azma ft. Rado - Nia moja [Audio]

SONG: NIA MOJA
ARTIST:AZMA & RADO
PRODUCER: P MALLY
STUDIO: MOS RECORDS
Hii ni nyimbo mpya kabisa kutoka kwa AZMA anayewakilisha TAMADUNI MUZIK na RADO anaye wakilisha CHEM CHEM,siku zote watu wa HIP HOP ni wamoja.
Kwa wote ambao tuna nia moja katika kuhakikisha HIP HOP inasonga na inasimama siku zote, basi hatuna budi kuhakikisha kuwa hii track inasambaa na kuwafikia watu wengi kadiri ya uwezo.....
PLZ SHARE NA WENZIO KIBAO TRACK HII WAIPATE

Azma ft. Rado - Nia moja [Audio] Reviewed by Unknown on Monday, October 28, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.