Top Ad unit 728 × 90

Hii ndio KLAP RECORDS studio mpya kabsa mjini Dodoma na Track tatu za utangulizi hizi hapa

KLAP Records ni studio mpya kabisa mjini Dodoma ambayo ipo chuni ya Producer toka Mwanza ANDY FLEXBO na inapatikana pande za Makulu nje kidogo ya Mji wa Dodoma ama njia panda ya Kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM huko ndiko maskani zilipo studio hizo ambazo tayari zilishaanza kufanya kazi na wanakaribishwa wasanii wa kila aina kufika pale na kufanya kazi katika studio zile kwani wamejiandaa vilivyo kipambana na Soko la Muziki ambalo ndilo linalokimbiza kwa sasa Nchini.

Producer Andy Flexbo amesema yupo tayari kufanya mapinduzi makubwa mkoani Dodoma na kanda ya kati kwa ujumla kutokana na kwamba imekuwa muda sana mji wa Dodoma haujapata watayarishaji wa muziki ambao wapo siriaz (serious) na game hili kwa kuendelea kutoa kazi ziziso na viwango kwa kuangalia tu maslahi bila kuwa makini na ubora wa kazi na ubora wa wasanii wao.

Hapa ni baadhi ya picha za wasanii toka studio za Klap Rec pamoja na nyimbo za utangulizi zilizofanya na wasanii kadhaa wa kutoka Dodoma.




Hii ndio KLAP RECORDS studio mpya kabsa mjini Dodoma na Track tatu za utangulizi hizi hapa Reviewed by Unknown on Saturday, October 26, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.