Top Ad unit 728 × 90

Machali Pori - Njoo Kwetu [Audio]

Wanaibuka Machalii Pori,  Kundi toka pande za Ifakara kule Morogoro wenye maskani yao Arusha pande za Usa River kwa sasa, akiwemo ShambaBoy Densa & SponsorJay pamoja na Dalali katika ngoma yao "Njoo Kwetu" ikiwa ni mkono juu ya beat ya producer Dizzo One wa NewStar Records na vocal +Mixing studio za Noizmekah Productions Arusha, pata kuusikiliza/Download HAPA na kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na Machalii Pori kupitia +255 767 554 041 & +255 765 396 635 & +255 763 050 787 powered by www.vmgafrica.com
Machali Pori - Njoo Kwetu [Audio] Reviewed by Unknown on Thursday, October 31, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.