AZMA & DARK MASTER - We never give up [Audio]
Tumefanya wimbo mpya mimi na Darkmaster Mwanachemba jana usiku, leo tumefanya video yake,ni maalum kwa wana harakati wote,miaka 3 nyuma mimi na Kita TheProducer tuliplan kufanya kazi na CHEMBA SQUARD(NGWEA & NOORAH) sisi tukiwa tunaunda UMABE but hatukufanikisha ila wote tulitamni iwe hivyo baada ya mazungumzo, but leo nimefurahi tumefanya kitu na Dark,
Rest peace COWBOY duniani harakati zinaendelea kama kawa na leo mimi na mwana tumewakilisha CHEMBA SQUARD & UMABE TUMESIMAMA, sikupanga kuachia wimbo huu mpya kwa sasa but imenibidi niuachie tuu,kwa ajili ya kumuenzi Ngwea na wana wengine waliotangulia
Rest peace COWBOY duniani harakati zinaendelea kama kawa na leo mimi na mwana tumewakilisha CHEMBA SQUARD & UMABE TUMESIMAMA, sikupanga kuachia wimbo huu mpya kwa sasa but imenibidi niuachie tuu,kwa ajili ya kumuenzi Ngwea na wana wengine waliotangulia
AZMA & DARK MASTER - We never give up [Audio]
Reviewed by Unknown
on
Monday, February 10, 2014
Rating:
No comments: