Top Ad unit 728 × 90

Baghdad asema Birthday yangu ni shida

Pray GodKkweka a.k.a Baghdad PG Kweka raper aliezaliwa miaka kadhaa iliyopita tarehe 11  feb amesema ya kuwa
  '' kila mwaka umekuwa tofauti kwangu lakini huu umekua maalumu sana na wa kukumbukwa kwenye maisha yangu kwa kuwa
  La kwanza imenikuta nikiwa nimepungu mwili kiwango nilichokuwa sikitarajii lakini nilikuwa nikiota kila siku kuwa nao
   La pili imenikuta nikiwa kwenye lable ambayo nilikuwa ninaota kila siku nilikuwa nikiwaza kupata lable itakayohakikisha nitafanya mziki bila mawazo na kunihakikishia uhakika wa kufanya Videos na Audio zenye kiwango cha kimataifa
   Tatu nimeshukuru mungu siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu imenikuta niko na familia mpya ki mziki ambayo ina malengo na tabia kama zangu na wananipenda mpaka najivunia kuwa mmoja wa familia ya vipaji Tz, namzungumzia Byter, Aba, Jo Gift, Cilubus, Dream, Ninja, Herieth,
   Ni kweli watu wanaokubali mziki wangu ni wengi na wapo kila kona ya nchi ndan na nje ya nchi hivyo natamani ksheherekea sikuku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu na watu wote wanaopenda kazi zangu na kuheshimu nachokifanya lakini sintaweza hivyo nimerahisisha My No 0652 89 48 71, 0784 80 60 93 twiter Pray God Kweka,  instagram bagh_dad, facebook Baghdad Pg Kweka kwa lolote lile unaweza kuchagua njia yoyote ambayo kwako itakuwia rahisi
Bali kwa wakazi wa dar es salam j 5 tunakutana pande za maisha club kuanzia saa 5 usiku kwa kiingilio cha sh 8000 tukutane pamoja tule keki pamoja na tuzindue video ya wimbo wetu mpya ni Shida - Baghdad, Byter, Cilubus & Jo Gift. Ilioandaliwa na abbah Process na video imeandaliwa na adam juma!

Baghdad asema Birthday yangu ni shida Reviewed by Unknown on Tuesday, February 11, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.