Top Ad unit 728 × 90

Tazama picha za utengenezaji wa VIDEO ya wimbo mpya wa D-KNOB 'Nishike Mkono' Ft. MWASITI

Hizi ni baadhi ya picha zinazoonesha manndalizi ya ujio wa video mpya ya msanii Dirty Knob aliyomshirikisha msanii wa kike nchini Mwasiti Almasi inayotarajia kutoka mapema mwezi huu mnamo tarehe 14 siku ya wapendanao kwa mujibu wa D Knob mwenyewe.

Video inafanywa na Director  Nick Dizzo wa E Media chini ya Usimamizi wa D Knob mwenyewe na Kampuni yake ya Mitaani Most wanted.








 
Tazama picha za utengenezaji wa VIDEO ya wimbo mpya wa D-KNOB 'Nishike Mkono' Ft. MWASITI Reviewed by Unknown on Tuesday, February 11, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.