Uzinduzi wa EP ya JanB Club Billicanas
Uzinduzi wa EP Album ya Msanii wa Mziki wa kizazi kipya katika miondoko ya Swahili Pop/House & Techno. Itafanyika tarehe 9 March 2014 CLUB BILLICANAS. Atasindikizwa na wasanii wakali WAKAZI, NIKKI MBISHI, NIITE SONGA, GODZILLA, M-RAP, COUNTRY BOY, AZMA, OBI na wengine kibaoo. Ni siku ya Jumapili kwa kiingilio cha 8,000 tuu. Pia EP Album ya JanB itapatikana pale kwa buku tano tuu.
Venue: Club billicanas
Date: 9th March 2014
Price: T.sh 8,000
Uzinduzi wa EP ya JanB Club Billicanas
Reviewed by Unknown
on
Thursday, February 27, 2014
Rating:
No comments: