Top Ad unit 728 × 90

Young Kacha aanza kuwa Ambwene mdogo

habari mpya...
Young Kacha atarajia kutoa official track mpya na moja ya msanii chimpkizi kutokea marekani...amesema anamshukuru Mwenyezi Mungu sana kwa jinsi muziki wake unavyokuwa kila siku...na kiukweli amekuwa kati ya ma upcomng wakali wanaojituma sana kuvuka boda...mpaka sasa amesema nyimbo zake zinapigwa sana radio na tv za nje ya tanzania kama kenya, uganda na south africa...na ata kama ukifanya uchunguzi wakumsearch google utaakikisha ili.....
tukiludi kwenye swala la wimbo wake uwo aliofanya na msanii uyo chipkizi kutoka marekani anaetambulika kwa jina la CHILLADO , amesema kuwa wimbo upo vision mbili,,moja na chillado na nyingine na walter chilambo jamaa aliekamata mtonyo wa million 50 ya bongo star search...kwaiyo itaanza kutoka aliofanya na walter chilambo afu ile na chillado itatoka kama remix..fans wake wajiandae kwa mazuri kuliko yaloopita..na sasa bado anatamba na kibao chake cha bora baba angekuwa mbunge ambayo ameshatoa na tshrt zake..

Young Kacha aanza kuwa Ambwene mdogo Reviewed by Unknown on Tuesday, February 04, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.