PICS & VIDEO: BEEF LA MECCACHEKA NA JAMBO SQUARD HALIPO TENA
Jambo Squad na MeccaCheka siku ya Jumatano tarehe 26 Februari tulikutanishwa Noizmekah kujadili tofauti zetu, sasa Tumepatana na hakuna beef tena. Shukrani kwa mashabiki zetu wote tunawapenda, tegemeeni ngoma za pamoja toka kwetu Jambo Squad na MeccaCheka kama ishara ya amani na upendo kati yetu vijana, wasanii wa Tanzania, Peace & Love TAZAMA VIDEO
PICS & VIDEO: BEEF LA MECCACHEKA NA JAMBO SQUARD HALIPO TENA
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, March 04, 2014
Rating:
No comments: