Top Ad unit 728 × 90

Kapuku Digital - Wameshiba, Tuna Njaa [Audio]

Ni official release ya track kabambe kutoka kwa best rapa ndani ya arusha Maskini aliye katika mfumo wa digitali Kapuku Digital kwa mara nyingine anaachia hit song iliyopo ndani ya mixtape ya kaburi la fisadi inayotesa mitaani arusha kuliko radio stesheni....hii amesema iende kwa maskini wooooooteeee tanzania... mkae tayari kwa video vya nyimbo zote zilizopo kwenye mixtape.... Sikiliza hii track kisha ubonge nondo si nondo.....
Kapuku Digital - Wameshiba, Tuna Njaa [Audio] Reviewed by Unknown on Wednesday, April 09, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.