Top Ad unit 728 × 90

Matonya Apata shavu la kukutana na Mashabiki zake Tabata siku ya sikukuu ya Pasaka.‏ [Newz]

MATONYA amefurahi kufanya show kwenye sikukuuu za pasaka ambazo kwa upande wa Tabata zitafanyika katika ukumbi maharufu Rufita club uliyopo Tabata Segerea..
Tonya ameomba mashabiki wa mziki wake kujitokeza kwa wingi siku hiyo ya tarehe 20 juma pili hii.
Siku hiyo Matonya Atawasikilizisha Mashabiki wimbo wake mpya itakapo fika usiku na kukutana na watoto katika mchana wa Pasaka na kuwapatia zawadi zitakazo wawezesha watoto kufanya vizuri katika masomo yao.
Usiku wa Pasaka atasindikizwa na Suma mnazaleti pamoja na Y-Tony na Kanga Moko.
Matonya Apata shavu la kukutana na Mashabiki zake Tabata siku ya sikukuu ya Pasaka.‏ [Newz] Reviewed by Unknown on Thursday, April 17, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.