Top Ad unit 728 × 90

Mshindi wa Reds Miss UDOM 2014 Apatikana [Tazama picha mbalimbali katika mashindano hayo]

Mshindi Sophia Masei akiwa na katika Picha ya pamoja na mshindi wa pili kushoto Panieli Reonald na mshindi wa tatu kulia Nai Nkwabi mara baada ya kutangazwa ka matokeo hayo usiku wa kuamkia leo pale katika ukumbi wa Kilimani Landmark Dodoma

Twanga Pepeta walikuwepo kusindikiza Fainali za mashindano hayo katika Ukumbi wa Kilimani Landmark Dodoma

Jopo la Majaji waliotoa maauzi ya kumata mshindi wa Reds Miss UDOM 2014



Mshindi wa Miss UDOM mwaka jana alikuwepo kumvisha taji Mshindi wa Mwaka huu











Meneja wa Makampuni ya Shabiby Bus Service David akikabidhi zawadi ya Pesa Taslimu za Kitanzania kwa Mshindi wa Kwanza wa Reds Miss UDOM 2014 Sophia Masei

Waandaji wa Mashindano hayo pamoja na Wadhamini wakiwa katika picha ya pamoja na Warembo mara baada ya kutangazwa mshindi
Tazama picha zaidi



Washindi katika pozi la pamoja





Mshindi wa Reds Miss UDOM 2014 Apatikana [Tazama picha mbalimbali katika mashindano hayo] Reviewed by Unknown on Saturday, April 12, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.