Top Ad unit 728 × 90

MSIBA WA GURUMO: HAKUNA ANAETUDAI YA NASH MC YASOGEZWA SIKU ZA KUTOLEWA

Kutokana na Msiba wa Mwanamuziki mkongwe nchini Muhidin Maalim Gurumo uliotokea Alasiri ya Jumapili tarehe 13/04/2014, Msanii Nash MC aliyetarajija kutoa Audio track yake aliyomshirikisha msanii Chaba Jumatatu ya tarehe 14/04/2014 sasa imesogezwa mbele hadi hapo itakapotajwa tena mara baada ya msiba huu kuwa umeisha na taratibu zimejulikana. Hayo yamesemwa na Nash MC mwenyewe kwamba kutokana na Heshima ya Mzee wetu mkongwe katika muziki haitakuwa busara kuuachia wimbo huo katika kipindi hiki cha Majonzi.

Fuatilia blog hii ujue ni lini wimbo huo utatoka rasmi.
MSIBA WA GURUMO: HAKUNA ANAETUDAI YA NASH MC YASOGEZWA SIKU ZA KUTOLEWA Reviewed by Unknown on Sunday, April 13, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.