Mguu Pande Mguu Sawa [Lyrics] Stamina ft. Walter Chilambo
Song: mguu pande mguu sawa
Artist: stamina ft walter chilambo
Studio: one love fx
Producer; tiddy hotter
Song writer: stamina (verse),walter
(choruss)
Intro;stamina
Yeaaah,,,u
know what tiddy
One love fx
again men
Iz moro town
in da house
Shorwebwenzi
on this one
Vers 1(stamina)
Peleka kitanda
batani,kama unapenda ukeshe bar/
Sista duu
muda hausimami,hata uivulie nguo saa/
Ishi
kiushujaa,kama umepanga kambi ya jeshi/
Kati ya
maarufu na star,maarufu anaongoza kwa deshi/
Ewe raisi wa
wanyama,fanya sensa usisahau/
Mfuasi
aliyesaliti chama,huku mjini bonge la nyau/
Tunza bible
sio irizi,ufalme wa mbingu hauna fensi/
Ndo maana
akifaga mzinzi,mazishi hatufanyi gesti/
Chagua kilicho
best,kati ya copy na kupaste/
Je Yule
aliyefeli maisha na class alifeli test?/
Hakuna demu
anayejiuza,hicho ndo nikijuacho/
Nachojua
wanakodisha,unatumia huondoki nacho/
Bitozi msaka
mchumba,usiforce unapotemwa/
Piga goti
kwa muumba,ikibidi akuumbe tena/
Mguu mmoja
pande,mwingine urudishe sawa/
Hiyo ndo
ishara ya kiafande,ya kuweka mambo sawa/
Chorus(walter chilambo)
Naamini kama
nyuma ulikosea rudi
Weka mambo
sawa na plan b
Unaweza
fanya bora zaidi (muda bado)
Mguu
pande(mojaaaaa)mguu sawa(mojaaaaa)
Nyuma
geuka(moja mbili tatu mojaaa)…..x2
Mguu
pandeeee(mojaaaaaa)mguu sawa(mojaaaa)
Nyuma
geukaaaaaa.
Vers 2(stamina)
Mjini wanyama
kibao,cha ajabu wanakula unga/
Mawazo ya
vichwa vyao,dingi afe warithi nyumba/
Ewe
kengeza,chunga usimcheke chongo/
Cha msingi
muombe ebeneza,akupe vision yenye michongo/
Saka chaka
kila sehemu,maana pesa ina machale/
Nyie
mnaowinda mademu,hivi mna nyota ya mshale?/
Mnyamazie
mshenzi,ukimjibu tu anatuna/
Hadi shoga
nae ana mpenzi?,kweli madem mna huruma/
Mziki umejaa
stress,ambazo haziishagi kwa pombe/
Mastar
wamewekeza desi,wanakufa hawana hata ng’ombe/
Underground
chondechonde,usiache shule kisa mziki/
Usuperstar
una mabonde,na miteremko ya dhiki/
Yesu anarudi
lini?,hilo swali ndo ujiulize/
Sio stamina
utaoa lini,nitajibu tu niko bize/
Mguu mmoja
pande,mwingine urudishe sawa/
Hiyo ndo
ishara ya kiafande,ya kuweka mambo sawa/
Chorus(walter chilambo)
Naamini kama
nyuma ulikosea rudi
Weka mambo
sawa na plan b
Unaweza
fanya bora zaidi (muda bado)
Mguu
pande(mojaaaaa)mguu sawa(mojaaaaa)
Nyuma
geuka(moja mbili tatu mojaaa)…..x2
Mguu
pandeeee(mojaaaaaa)mguu sawa(mojaaaa)
Nyuma
geukaaaaaa.
Vers 3(stamina)
Usitupe
mayai kiholela,zalisha ili uache chata/
Maisha baiskeli
ya delela,ukiinama chako unapata/
Kumpa
kibogoyo mnofu,kisa nyama bei aghali/
Ni sawa na
kumteta kipofu,huku kifikra anaona mbali/
Hakuna zali
la mentali,kwenye sayari ya kupendwa/
Mlevi mnywa
safari,je unajua unapokwenda?/
Acha
mashauzi,sista duu genge linalipa/
Ujanja sio
kwenda south,au china ili ukawe striper/
Mapenzi ni
kutendwa,mpendaji jiamini/
Sharo ukiona
unapendwa,ujue una nyota ya ukimwi/
Ni sawa na
uote,usiku una kiss na jini/
Halafu uamke
ujikute,una lips stick kwenye ulimi/
Unahitaji
akili,sio mashavu yenye dimpoz/
Mwanaume
jasiri,hajichubui kisa ana pimpoz/
Mguu mmoja
pande,mwingine urudishe sawa/
Hiyo ndo
ishara ya kiafande,ya kuweka mambo sawa/
Chorus(walter chilambo)
Naamini kama
nyuma ulikosea rudi
Weka mambo
sawa na plan b
Unaweza
fanya bora zaidi (muda bado)
Mguu
pande(mojaaaaa)mguu sawa(mojaaaaa)
Nyuma
geuka(moja mbili tatu mojaaa)…..x2
Mguu
pandeeee(mojaaaaaa)mguu sawa(mojaaaa)
Nyuma
geukaaaaaa.
Mguu Pande Mguu Sawa [Lyrics] Stamina ft. Walter Chilambo
Reviewed by Unknown
on
Thursday, May 22, 2014
Rating:
No comments: