Top Ad unit 728 × 90

PLACK KAMLAMBO - Chururu [Audio]

Kwa mara ya kwanza wilaya za Kilombero, Mikumi na Ifakara wamepata studio nzuri na ya maana ambayo kwa sasa wasanii wa maeneo hayo hawapati tena tabu za kusafiri umbali mreefu kutafuta huduma za kurecord nyimbo zao........hii ni moja ya kazi za kwanza kwanza kabisa za studio hiyo inayoenda kwa jina la KINGS RECORDS. Wewe ukiwa kama mdau wa muziki saidi kuukuza muziki huu mtamu wa Tanzania ili uweze kuvuta na kuwa wa level nyingine.

Nyimbo inaitwa CHURURU Artist anaitwa PLACK KAMLAMBO
Studio; KING RECs
Producer: RAMSO
Mkurugenzi wa studio: IMMA BONGE
Studio inapatikana KILOMBERO maeneo ya nyamvisi

PLACK KAMLAMBO - Chururu [Audio] Reviewed by Unknown on Monday, May 12, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.