Top Ad unit 728 × 90

EASY A' Wa MTAA ft OMEGA -KONA YA MTAA [Audio]

Msanii Easy 'A' wa mtaa kutoka mkoani Mbeya a.k.a Green City, hii ni kazi yake ya pili baada ya ile ya kwanza aliyoitoa mnamo mwaka 2011 iliyoenda kwa jina la Bado nipo aliyomshirikisha David. mwaka huu ana mpango wa kuachia single zingine mbili ambapo mwakani ndipo atazungumzia ujio wa album ana mixtape.

Matarajio yake ni kufanya muziki ambao ni Elimu kwa Mtaa (kifupi tu ni kwa ajili ya Ukombozi wa Mitaa) na ndio maana hata wengi wanamfahamu na kumuita Rafiki wa Mtaa.

Kwa mawasiliano zaidi
Simu: 0714265488
Easy 'A' Wa Mtaa

Jina la Wimbo Kona ya mtaa
Mwimbaji Easy A (RAFIKI WA MTAA) FT Omega
Studio Intelligence music
Producer Cabinova
EASY A' Wa MTAA ft OMEGA -KONA YA MTAA [Audio] Reviewed by Unknown on Monday, June 30, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.