Top Ad unit 728 × 90

Miss Higher Learning Tanzania 2014 yapata Mrembo wake. [Habari & Picha]

Mashindano ya kumtafuta mrembo wa Vyuo vya elimu ya juu tanzania yamefanyika usiku wa kuamkia tarehe 08.06.2014 katika ukumbi wa Royal Village mjini Dodoma.
Mrembo SOPHIE MASEI kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma ambaye pia alishinda Miss UDOM mapema mwezi April ameweza kuibuka mshindi mara baada ya kuwazidi washiriki wenzake wapatao 15 kutoka vyuo mbalimbali vya Tanzania.

Mashindano hayo yalifunguliwa na Mbunge wa Kondoa Mhe. Juma Nkamia ambapo pia alikuwepo Hashim Lundenga ambaye ndiye aliyekuwa Jaji mkuu wa mashindano hayo yaliyofanyika na kuisha kwa utulivu mkubwa hadi mwisho.
Tazama picha mbalimbali katika fainali hizo:-
Mhe. Nkamia akifungua mshindano sambamba na Samweli Malecela pamoja na Prof Maji Marefu



 


 Walianza na Vazi la ubunifu....









 Ikafuatiwa na Vazi la Ufukweni.......







Vijana wa Ngwasuma nao walikuwepo kusindikiza mashindano hayo ambapo walitoa show kali...ilikuwa ni Shiiidaaa!!
 Hapa ni warembo wakipita na Vazi la Usiku.........












Jaji mkuu Hashim Lundenga alipokuwa akitangaza Tano Bora




Hawa ndio warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora





Aggy muandaaji wa mashindano akitoa yake machache mbele ya umati uliohudhuria




Hatimaye akapatikana mshindi ambaye ni Sophie Masei aliyetokea Chuo Kikuu cha Dodoma.

Hapa washindi watatu wakiwa wameshikilia zawadi zao za decoder toka kwa Star Times ambao walikuwa ni moja ya wadhamini wa shindano hilo

Mmoja wa wapambaji wa Warembo akiwa katika picha ya pamoja na mshindi

 
Miss Higher Learning Tanzania 2014 yapata Mrembo wake. [Habari & Picha] Reviewed by Unknown on Sunday, June 08, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.