Top Ad unit 728 × 90

Picha: Show ya T.I.D na Yakuza Mobb - Maisha Club Dodoma [Picha]

 
Show ilifanyika Usiku wa kuamkia leo tarehe 22.06.2014 ambapo iliwaleta Yakuza Mobb pamoja na Mnyama T.I.D toka Dar es Salaam ambao kwa pamoja walikinukisha ile kishida pale Maisha Club Dodoma
 


 
 

One Six nae alipiga show ya kufa mtu

Yakuza Mobb walikamua vya kutosha kabla ya mnyama TID kuingia kwa Stage


DJ Abou Mkali





Hapa ni Bang Bang (Yakuza & Mnyama)


 Endelea kutazama picha kwa kubofya hapa chini




Sijaja kuuza sura hapa ni kazi tu......

Fans akishow love kwa mnyama












Picha: Show ya T.I.D na Yakuza Mobb - Maisha Club Dodoma [Picha] Reviewed by Unknown on Monday, June 23, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.