Top Ad unit 728 × 90

Heri Muziki - Nakukumbukaga [Lyrics]


HERI MUZIKI-NAKUKUMBUKAGA LYRICS
 
Verse One:
Asubuhi kumekucha
na na naaaa
Akili yangu ndo kwanza imepambazuka
ma ma maaa
Nakumbuka hapa mtaani kuna jirani fulani namdai
Japo ni kidogo ila kitajaza yangu maslahi
ma ma maaa
Ukikwama waweza niita naweza fika
ntakusaidia napoweza
hata kama nikishindwa
nitakueleza mi binadamu naweza kwama
 
Chorus:
Nimekuruhusu uniombee
Kama ntakua navyo ntakupaga
Na kama nikikosa we usilalamikege
Tumeumbwa kupata na kukosa
Vumilia leo sina, mbona nikipata we wa kwanza
Kukukumbukaa  ha ha haa kukukumbukaga haya yaya
Kukukumbukaga mamamaa kukukumbukagaaa haaa
 
Verse two:
Wala usijihisi vibaya
Sijakusema kwa nia mbaya
Najaribu kukuweka sawa
Huenda ukanielewa
Sitaki kuzisaka pesa vibaya
Kisa umenituma lipshine na poda
Kwako kwako kwako nikashindwa kuja
Kisa umenuna
Sitaki unune we ni kiburudisho changu
 
Chorus:
Bridge:
Wherever I go, you’re my soul
U drive my heart
Nakukumbukaga Nakukumbukaga
Wherever I go, you’re my soul
U drive my heart
Nakukumbukaga Nakukumbukaga
 
Chorus:
kukukumbukagaaa haaa till fade
Heri Muziki - Nakukumbukaga [Lyrics] Reviewed by Unknown on Wednesday, July 02, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.