Top Ad unit 728 × 90

NANI KAMA NASH MC BONGO: Afanya kweli TMK SHOW [Picha]

Bongo kitaeleweka tu, Msanii NASH MC au a.k.a majinan kibao unayoyajua wewe hatimaye ametimiza lengo lake katika show aliyoiandaa mwenyewe kwa kuanzia na watu wake wa Home TMK na baadae kuelekea mikoani kwa show zaidi. kwa mujibu wa NASH mwenyewe anasema kuna uwezekano kkama mipango itakaa sawa Novemba hii itaanza na mikoa ya Iringa, Dodoma na Singine na baadae ratiba nyingine kujulikana hapo mbele.
 
Katika ukurasa wake wa FB Nash aliwashukuru mashabiki wake kwa kusema:-
 
" Kwanza naomba niwashukuru Watu wengi waliofika jana na Kutoa ushirikiano wa nguvu sana pale Chuo cha Bandari Tandika,kama nilivyokua nimeahidi kuandika historia mpya na kwa uwezo wa Mungu iliandikwa,Watu walikua na mizuka ya ajabu na show niliyofanya sina haja ya kuielezea naomba mliokuwepo muwe mashahidi katika Hilo....‪#‎NashMcTemekeShow‬ Watu walijaa kama nilivyotarajia na kwa kweli furaha niliyonayo haielezeki,Shukrani sana makamanda wote tuliofika pale,Wasanii wenzangu na kwa timu yangu yote.
Nash Mc Mpishi Mkuu.........
Nash Kenyatta.......................hahahahahahaahahahahahahaha!
Wamekaaaaaaaaaaaaa"..!
 
Tazama picha mbalimbali za show.....



HONGERA NASH MC..
NANI KAMA NASH MC BONGO: Afanya kweli TMK SHOW [Picha] Reviewed by Unknown on Tuesday, October 21, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.