Top Ad unit 728 × 90

MARLEY - KUACHANA NO [Audio]

Anaitwa MARLEY mwezi huu katoa wimbo wake mpya uitwao KUACHANA NO ambao ni SWEET REGGAE, ni mwimbaji pia rapper. Kwa sasa yuko chini ya Uongozi wa JANB MULTIMEDIA TANZANIA ambayo ni label mpya ya mziki ya rapper JANB. Wimbo huu wa Marley tayari uko katika vituo mbalimbali vya redio nchini na nje ya nchi.

MARLEY - KUACHANA NO [Audio] Reviewed by Unknown on Friday, March 20, 2015 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.