BEYONCE KUMPA SUPPORT JAY Z KWENYE SHOW YA MADE IN AMERICA
Kwa mujibu wa mtandao wa Huffington Post, Beyonce
anajiandaa kumpa support mume wake Jay-Z kwenye tamasha la Made In America. Beyonce
anatarajiwa kufanya performance ya surprise weekend ijayo kwenye tamasha hilo
litakalofanyika huko Pennsylvania.
Mpaka sasa performance ya Beyonce ni siri kubwa lakini
inadaiwa itachukuliwa picha kwaajili ya makala ya Jay kuhusu tamasha hilo. Tamasha
hilo la Philly linatarajiwa kuhudhuriwa na mashabiki 100,000.
BEYONCE KUMPA SUPPORT JAY Z KWENYE SHOW YA MADE IN AMERICA
Reviewed by Unknown
on
Wednesday, August 29, 2012
Rating:
Reviewed by Unknown
on
Wednesday, August 29, 2012
Rating:


No comments: