Jokate na Harambee kwa wasichana
Baada ya yeye kupata elimu nzuri mpaka kufikia hapo alipofika,
mwanadada mkali toka kwenye fani ya urembo nchini, Jokate Mwegelo,
ambaye kwasasa hivi ni balozi wa harambee ya kuchangia matofali ya
kuwezesha kujenga mabweni kwa ajili ya watoto wa ike wanaosema katika
shule za kata hapa nchini.
Harambee hiyo inaratibiwa na Tanzania Education Authority (TEA) ikiwa na lengo la kujenga mabweni yasiyopungua thelathini.
Msikie mwenyewe balozi Jokate akiongelea harambee hiyo.
huyu hapa Jokate akizungumzia inshu hiyo kidogo pamoja na historia yake "Primary nimesoma Olympio iliyoko Upanga na Sekondarii nimesoma Mt. Antoni (O-Level) na A - Level nimesona Loyola Highi School pale Mabibo na Chuo kikuu pale Mlimani University nilikuwa nikichukua 'Political Science' kwa sasa hivi ni balozi wa kuchangia harambee hii ya tofali ambazo zitaenda kutumika katika ujenzi wa mabweni kwa ajili ya watoto wa kike wanaosoma katika shule za kata hapa nchini na ni harambee inayoratibiwa na "TEA' (Tanzania Education Authority) na lengo likiwa ni kujenga mabweni yanafikia 30 kwa shule ka 8 za kata hapa Tanzania"
Jokate amesema kilichomvutia yeye hadi kuwa ktk harambee hiyo ni kutaka kuona wasichana wanakuwa katka mazingira mazuri kielimu ikizingatiwa kwamba katika jamii yetu bado mtoto wa kike anaonekana akipata elimu ktk mazingira magumu sana.

Reviewed by Unknown
on
Thursday, August 16, 2012
Rating:
No comments: