WITNESS MUZIKI NA U-DOCTOR ZOTE NI PROFESSIONAL ZAKE
Witness inaonekana safari yake nchini Marekani haikuwa ya bure kwa maana kwamba kuna vitu ambavyo vile vile alikuwa akienda kuviweka sawa... hili ilimegundulika hivi karibuni baada ya kuandika katika ukurasa wake wA Facebook maneno haya hapa chini:-
"tsup ma pipo ninapenda kuwataarifu wale watu
ambao walikuwa wakinisubiri kuhusiana na maswala ya kiafya kupunguza
uzito naturally,matattizo ya macho na magonjwa mbali mbali kwamba
nimeanz kazi rasmi leo, kwani hakuna sababu ya mtu kuumwa ispokuwa usipo
upatia mwili lishe bora yenye vitamin na madini ya kutosha kwa ajiri ya
ya mwili kujimantain wenyewe je wajua mwili uliumbwa kujitibu wenyewe
ukipata some sort of damage!? lakini hii yawezekana tu kwa kula vyakula
sahihi vya kuusapoti mwili uweze kujikimu wenyewe. so, kama una tatizo
lolote lile lihusulo afya unachohitaji ni kupiga simu tu ili kupata
ushauri wa nini cha kufanya hata kama hujawahi kunenepa yote
yanawezekana 0717 757 582 much love!"
Dj Mchomo Team inajiuliza kwama siku hizi witness kawa Doctor ama ni mshauri wa masuala ya kiafya... news zaidi utazipata pindi yeye mwenyewe Witnez atakapoweka wazi kuhusiana na hili..
WITNESS MUZIKI NA U-DOCTOR ZOTE NI PROFESSIONAL ZAKE
Reviewed by Unknown
on
Wednesday, August 22, 2012
Rating:
No comments: