Grace Matata na TK Nendeze wote wapata watoto, Guess yupi kazaa na Duke?!!
Studio ya MLAB imepata baraka miezi ya hivi karibuni
baada ya wasanii wake wa kike, Grace Matata na TK Nendeze kupata watoto.
Kitu cha kuvutia hapo ni kwamba
mmoja wa wasanii hao amejifungua mtoto na producer wake, Duke!! Can you guess?
Well ni TK Nendeze. Tumejuaje? Ni kupitia picha iliyowekwa jana na TK Nendeze
kwenye Facebook inayomwonesha akiwa mwanae huku ikiwa na maelezo yasemayo,
“baby D jr na mommy.”
Baby D Jr? So who is D Senior
ambaye ni baba yake? Comments zikatoa jibu! “Aaawwww Duke Jr. Sooooo adorable,”
aliandika mmoja wa marafiki wa TK.
TK |
Hapa TK Nendeze akiwa na mwanae |
Pia rapper Nikki Mbishi hivi
karibuni aliandika kupitia Facebook, “Grace Matata mwanawe ataitwa Songa wakati
TK Nendeze mwanawe akiitwa Ghéttò Ambåssådór Tz; hahahaha!!!Hao
watoto watakuwepo NEW MSASANI CLUB kushuhudia SHOW CASE ya uzinduzi wa albums 3
na mixtapes 2 za wasanii toka M-LAB,31th August 2012
Jana Grace Matata aliandika
status Facebook na kutaja jina la mwanae.
“I look at Ella and i think, how
does it happen? How do we get from here, so innocent, so new to where i am, so
tainted, so damaged? How?”
Kitu kimoja cha uhakika, ni
kwamba Grace aliyetamba na wimbo wake ‘Free Soul’ anafurahia kuwa mama kama
alivyosema hivi karibuni.
“You see the world in a whole new
light once you are a mother.”
Hongera Grace Matata na TK
Nendeze kwa kuwa ‘Mama’.
Grace Matata na TK Nendeze wote wapata watoto, Guess yupi kazaa na Duke?!!
Reviewed by Unknown
on
Saturday, September 08, 2012
Rating:
No comments: