LINEX ndani ya Collabo na KEKO!
Are you ready for another East African collabo? If not, you
better start being ready because it’s going to happen soon. This time its
Tanzania and Uganda!!
Inaonekana kama Jumuiya ya Afrika Mashariki inaendelea
kutumiwa vyema na wasanii wa nchi wanachama katika kupeana support kwenye
nyimbo zao. Linex anayeiwakilisha 255 ameamua kumtafuta rapper wa kike wa
Uganda Keko kwa collabo moja ya hatari sana. Hatupati picha mchanganyiko wa
code hizi 255 + 256 = ? Definetely a monster HIT!
LINEX ndani ya Collabo na KEKO!
Reviewed by Unknown
on
Monday, September 03, 2012
Rating:
Reviewed by Unknown
on
Monday, September 03, 2012
Rating:



No comments: