WITNESZ: 'mkome kunitongoza faecebook nimeolewa'
Wiki hili Msanii Witnesz ameamua kuwaweka wazi wanaume wenye tabia mbovu za kuwataka wanawake katika mitandao ya kijamii hasa Facebook kwa kuwaambia wakome kumtongoza kwani yeye ni mke wa mtu tayari na yupo katikka ndoa kwa miaka miwili sasa.... aliwataka wanaume hao kuacha tabiahiyo mara moja la sivyo atawaweka hadharani kwa kuwataja majina yao kupitia mitandao hiyo hiyo ya kijamii
Taarifa
maalum kwa wale wote wanaopenda kutongoza facebook kwa upande wangu
sipendi na sitaki kutongozwa kwa kuwa nimeolewa tayari na nina miaka
miwili sasa toka niolewe so msijisumbue tafadhari na yeyote atakaye
fanya hivyo kuanzia sas nitalichukulia jambo hilo kama ni kitendo cha
dharau na kublock huyu mtu ikiwezekana kulianika hadharani jina lake
ninawaheshimu wote na kuwachukulia kama kaka zangu na mashabiki zangu
pia, much love!
WITNESZ: 'mkome kunitongoza faecebook nimeolewa'
Reviewed by Unknown
on
Wednesday, September 05, 2012
Rating:

No comments: