Top Ad unit 728 × 90

WOLPER: SITAMUACHA DALLAS KAMWE

WAKATI baadhi ya vyombo vya habari vikidai msanii Jackline Wolper ameachana na mchumba wake ambaye ni Dallas, Wolper ameamua kuvunja ukimya na kudai kuwa kamwe hawezi kutengana na mpenzi wake huyo kwani ni mtu ambaye kwa upande fulani anaendesha maisha yake ya kila siku.
Wolper inadaiwa kuwa awali alitaka kuachana na mchumba wake huyo ingawa habari hizo hazikuwa na ukweli wowote, katika mazungumzo aliyofanya live na teentz.com alidai mapenzi yake na Dallas ni kufa na kuzikana hivyo wale wanaosema mabaya juu yake hawana nafasi na wanajisumbua.
“Kwanini niachane na Dallas unajua mapenzi si kitu cha mchezo nampenda sana Dallas na hata yeye pia ananipenda, hivyo si dhani kama kunaweza kutokea kitu kingine cha ajabu eti kwa sababu ya watu wanataka tuachane hatuwezi kamwe.”…Alidai

Hata hivyo Dallas aliongea kwamba hajampenda kwa sababu ya umaarufu au urembo bali ni mapenzi ya kweli na siyo kusema vile vile Wolper kampenda Dallas kwa sababu ya Mkwanja alionao..
WOLPER: SITAMUACHA DALLAS KAMWE Reviewed by Unknown on Tuesday, September 04, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.