Top Ad unit 728 × 90

BAADA YA DUKA LA NGUO SASA NI INTERNET CAFE & STATIONARY "IZZO BIZNESS"

Msanii wa Hip Hop nchini anajulikana kwa jina na Izzo B, baada ya duka lake la nguo kufanya vizuri huko Mbeya sasa amekuja na duka lingine ambalo litafunguliwa siku za karibuni maeneo ya Teku University Mbeya na duka hilo limepewa jina la Izzo Bizness Internet Cafe and Stationary.
BAADA YA DUKA LA NGUO SASA NI INTERNET CAFE & STATIONARY "IZZO BIZNESS" Reviewed by Unknown on Tuesday, November 20, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.