Hapa ndipo AY alipenya, tuzo za Channel O ‘CHOMVA2012’
AY na Nancy Sumari katika tuzo za ‘CHOMVA2012 |
Ambwene Yesaya ana kila sababu ya kupongezwa kwa kuibeba
bendera ya Tanzania katika sanaa yake na kuiwakilisha vyema, lakini naye
atazidi kuwashukuru sana fans kwa sapoti kubwa kwa kumpigia kura na kumuwezesha
kuibeba tuzo ya the Most gifted African East Video mwaka huu kwa video yake ‘I
Don’t want to be Alone ft. Saut Sol.
Wakati watanzania tunashangilia tuzo hiyo ni vizuri pia
tukakumbuka msitu alioupenya AY kwenye category yake. Aliwapenya wakali wenzake
ambao nauhakika kabisa kwa majina waliyonayo na kuhit kwa video zao kila mmoja
alikuwa na imani ya kuwa mshindi ,lakini that’s what happened na tuzo imeletwa
Bongo Land.
Keko (kushoto) |
Video zilizokuwa zinashindana na ya AY ni Kekko feat.
Madtraxx-Make You Dance, Camp Mulla-Party Don’t Stop, K’naan feat. Nas-Nothing
To lose, na One&Only ya Navio.
Navio (kulia) |
Ay alikuwa nominated katika categories tatu lakini ameondoka
na tuzo moja ambayo imeongeza sana CV yake ya muziki.
Cpwaa pia aliwakilisha vyema Tanzania mwaka huu kwa kuwa
nominated kwenye tuzo hizo na video yake ‘Mhhhh..’ katika category ya the most
gifted dance video of the year, na alikuwa na ushindani toka kwa wasanii
wengine wa kimataifa na video zao; Dj Cleo-facebook, Dj Zinhle feat. Busiswa-My
Name Is, OS3 Feat. Tchoboly-Mokongo, Davido-Dami Duro, na Bucie-Get Over It. Ambapo
Dj Cleo na video yake ya facebook aliibuka mshindi. Kuwa nominated tu pia
kunaongeza CV kwa Cpwaa na kumuongeza nguvu ya kazi.
Cpwaa na manager wake |
Hii ni list nzima ya washindi wa CHOMVA 2012
1. Most
Gifted Video of the Year: D’Banj – Oliver Twist
Most Gifted Female Video – Zahara – Loliwe
2. Most
Gifted Male Video – D’Banj
3. Most
Gifted Hip Hop Video – Ice Prince – Superstar
4. Most
Gifted Afro Pop Video – Brymo – Ara
Most Gifted Duo, Group or Featuring Video – P Square ft.
Akon and May D – Chop My Money
5. Most
Gifted Dance Video – DJ Cleo – Facebook
6. Most
Gifted Kwaito Video – Ees and Mandoza – Ayoba
7. Most
Gifted R&B Video – Flavour ft Tiwa Savage – Oyi
8. Most
Gifted Newcomer Video – Davido – Dami Duro
9. Most
Gifted African South Video: Cashtime Fam – Shut It Down (Stundee)
10. Most Gifted
African West Video: D-Black ft Mo’Cheddah – Falling
11. Most Gifted
African East Video – Ay ft Saut Sol – I Don’t Want to be Alone
12. Most Gifted
Ragga – Buffalo Souljah ft Cabo Snoop – Styra Inonyengesa
Hapa ndipo AY alipenya, tuzo za Channel O ‘CHOMVA2012’
Reviewed by Unknown
on
Monday, November 19, 2012
Rating:
No comments: