HAYA NDO WALIYOYASEMA TUNDA MAN PAMOJA NA SUMA MNAZARETI KUHUSU KIFO CHA SHARO MILLIONEA PAMOJA NA NYIMBO MPYA ALIYOFANYA TUNDAMAN KUMKUMBUKA SHARO
Haya ndo maneno kutoka kwa Tundaman pamoja na Suma Mnazareti kuhusu ni kiasi gani walivozipokea taarifa za kifo cha Sharobalo.. wasikilize hapa wakati wakifanyiwa mahojiano katika kipindi cha Fleva GX kupitia Impact FM Dodoma.
na pia tumeipata ngoma ambayo kaifanya TundaMan kwa Maneck inayohusiana na Kifo cha SharoMillionea.
HAYA NDO WALIYOYASEMA TUNDA MAN PAMOJA NA SUMA MNAZARETI KUHUSU KIFO CHA SHARO MILLIONEA PAMOJA NA NYIMBO MPYA ALIYOFANYA TUNDAMAN KUMKUMBUKA SHARO
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, November 27, 2012
Rating:
No comments: