Top Ad unit 728 × 90

KEKO NDANI YA ALBUM MOJA NA MAJANI

God Father wa Bongofleva produza P Funk aka Majani wa Bongo Records pichani akiwa na Rapa wa kike mkali kutoka Uganda Keko.P Funky amesema kuwa Keko ambaye alikuja kwenye shoo hapa Jijini Dar es salaam naye ni msanii atakayeshirikishwa katika album ya 'No Name' 12.12.12. Album hiyo imetengenezwa na kuimbwa na maproduza wa 4 ambao ni P Funk mwenyewe,Karabani,Lamar,John Maundi na Dunga.Ndani ya album hiyo wameshirikishwa maproduza wengine na wasanii wakali karibia wote unaowajua wewe hapa Bongo na Afrika ya Mashariki baadhi yao ni Godzila,Ay,Dully Sykes,Keko na wengine wengi.Majani alisema Ngoma zote katika album hiyo zitafanyiwa video
KEKO NDANI YA ALBUM MOJA NA MAJANI Reviewed by Unknown on Saturday, November 24, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.