LINEX: Nina mpango wa kujihusisha na FILAMU!
Baada ya kufanya vyema na ngoma zake kali kama Aifora,Boda Boda, na nyinginezo, msanii Sunday Mjeda a.k.a Linex Linenga ameweka wazi malengo yake kwasasa ni kujiingiza kwenye ulimwengu wa filamu za kibongo 'bongo movies'.
KIVIPI Ni kwamba mchizi anasema ukiachilia mbali muziki, pia ana kipaji kikubwa cha uandishi wa story na hivyo ameona ni bora akatumia kipaji hicho kama muandishi wa filamu.
LINEX: Nina mpango wa kujihusisha na FILAMU!
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, November 20, 2012
Rating:
No comments: