STEREO AJITOA RASMI M-LAB
Leo Ijumaa msanii Stereo amemtumia Ujumbe DJ CHOKA na kumwambia kwamba kwa sasa hayupo tena M-LAB sehemu ambayo amekuwepo muda mwingi toka anaanza game la muziki. DJ Choka ali tweet sms hiyo ya Stereo na nilipomuuliza Choka kuhusu jamaa kutoa maelezo zaidi alidai kwamba hajasema chochote zaidi ya kuamua kufanya kazi akiwa yeye kama yeye alone.
naa baadae tena choka aliweza kuwasiliana nae akapata sababu flani flani, choka akatweet tena hivi..
DJ Choka
@ChokaDJ
#Stereo anasema sababu zilizomfanya atoke M-Lab na kuwa kama yeye ni mkataba wake umekwisha so ameamua kuendelea na kazi mwenyewe
STEREO AJITOA RASMI M-LAB
Reviewed by Unknown
on
Friday, November 23, 2012
Rating:
No comments: