Tazama Maziko ya Sharo Milionea amezikwa leo kijijini kwao Lusanga..
Msanii wa muziki wa kizazi kipya na tasnia ya filamu nchini Hussein Ramadhani ''Sharo Milionea''amezikwa leo kijijini kwao lusanga Kilichopo wilayani Muheza na kuhudhuriwa na mamia ya waombolezaji wakiwemo viongozi wa serikali na wasanii mbali mbali nchini.
ITV NEWZ:
Tazama Maziko ya Sharo Milionea amezikwa leo kijijini kwao Lusanga..
Reviewed by Unknown
on
Wednesday, November 28, 2012
Rating:
No comments: