Top Ad unit 728 × 90

UNAMJUA MSANII HUYU?



LL Cool J
James Todd Smith (amezaliwa tar. 14 Januari, 1968) ni rapa na mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama LL Cool J. LL Cool J inasimama kwa "Ladies Love Cool James". Anajulikana sana kwa maballad yake ya kimahaba kama vile "I Need Love", "Around the Way Girl" na Hey Lover", vilevile kuanzisha kuanzisha hip-hop kama vile "I Can't Live Without My Radio", "I'm Bad", "The Boomin' System", na "Mama Said Knock You Out". Pia amepata kuonekana katika filamu kadha wa kadha. LL Cool J ni mmoja kati ya wasanii wachache wa hip hop wa zama zake kuweza kupata mafanikio makubwa katika zake za kurekodi kwa zaidi ya makumi mawili. Ametoa takriban albamu kumi na mbili na kompilesheni ya vibao vikali kadhaa mpaka sasa, na albamu yake ya mpya kuwa ya mwaka wa 2008,s Exit 13, ambayo ni ya mwisho kwa LL kufanya kazi na Def Jam Recordings. Kwa sasa anaishi mjini Manhasset, New York na watoto wake wa nne na mke wake. 

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa
James Todd Smith
Amezaliwa
Asili yake
Kazi yake
Rapper, mwigizaji, baunsa
Sauti
Miaka ya kazi
1983–mpaka sasa
Tovuti

List ya Albam zake

ALBUM
 Mr. Smith ni jina la kutaja albamu ya sita ya rapa LL Cool J. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 1995. Baada ya kutofanya vizuri katika albamu iliyopita ya 14 Shots to the Dome, lakini hapa imekuwa kama msanii aliorudi kundini, kwa kuweza kwenda kwenye Platinum 2x na kuingiza vibao vikali vitatu kwenye 10 bora, "Hey Lover", "Doin' It", na "Loungin". Albamu hii ipo tofauti kabisa na matoleo yake ya awali, ambayo yenyewe yamefokasi sana katika hardcore rap, katika albamu hii LL anaonekana kuzingatia zaidi kwenye maballad ambayo hadi sasa anatamba nayo. Albamu hii ilikuwa ya kwanza katika albamu zake kuwa na ujumbe wa Parental Advisory.

Orodha ya nyimbo
  1. "The Intro (Skit)"
  2. "Make It Hot" (Imetayarishwa na Trackmasters)
  3. "Hip Hop" (Imetayarishwa na Trackmasters)
  4. "Hey Lover" (akiwashirikisha Boyz II Men) (Imetayarishwa na Trackmasters)
  5. "Doin' It" (akimshirikisha LeShaun) (Imetayarishwa na Rashad Smith)
  6. "Life As..." (Imetayarishwa na Easy Mo Bee)
  7. "I Shot Ya" (akimshirkisha Keith Murray) (Imetayarishwa na Trackmasters)
  8. "Mr. Smith" (Imetayarishwa na Chyskillz)
  9. "No Airplay" (Imetayarishwa na Chad Elliot)
  10. "Loungin" (ameshirikishwa na Terri & Monica) (Imetayarishwa na Rashad Smith)
  11. "Hollis to Hollywood" (Imetayarishwa na Trackmasters)
  12. "God Bless" (Imetayarishwa na Rashad Smith)
  13. "Get Da Drop On 'Em'" (Imetayarishwa na Trackmasters)
  14. "Prelude (Skit)"
  15. "I Shot Ya (Remix)" (ameshikirisha Keith Murray, Prodigy, Fat Joe na Foxy Brown) (Imetayarishwa na Trackmasters)
Imetolewa
November 21, 1995
Imerekodiwa
1994-1995
Urefu
58:25
Rashad Smith
Chyskillz
Chad Eliott
Trackmasters
Easy Mo Bee
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za LL Cool J
Mr. Smith
(1995)
Single za kutoka katika albamu ya Mr. Smith
  1. "Hey Lover"
    Imetolewa: October 31, 1995
  2. "Doin' It"
    Imetolewa: February 20, 1996
  3. "Loungin"
    Imetolewa: June 25, 1996


SINGLE – ‘Doin It’
"Doin It" is the second single from LL Cool J's sixth album, Mr. Smith, and was released on January 20, 1996 for Def Jam Recordings. Based around a sample of Grace Jones' "My Jamaican Guy", it also featured LeShaun, production from Rashad "Ringo" Smith and LL Cool J, with Erick Sermon producing the remix.
"Doin' It" was a success for LL Cool J, making it to #9 on the Billboard Hot 100 and #7 on the Hot R&B/Hip-Hop Songs Billboard charts. On the B-side was the previous single, "Hey Lover".
The remix featured on the soundtrack to The Nutty Professor samples the Art of Noise's "Moments in Love."
The crowd noise played throughout the song, shouting "Go Brooklyn", is sampled from "Top Billin'" by Audio Two. Keri Hilson sampled this song in her song "Do It" featuring Tank for her debut album In a Perfect World.
Single by LL Cool J featuring Leshaun
from the album Mr. Smith
Released
January 20, 1996
Format
Length
4:40
Rashad "Ringo" Smith, LL Cool J, Erick Sermon (remix)
LL Cool J featuring Leshaun singles chronology
"Hey Lover"
(1995)
"Doin It"
(1996)
"Loungin"
(1996)
Mr. Smith track listing
"Hey Lover
(4)
"Doin' It"
(5)
"Life As..."
(6)
"Doin It"
(14)
"Loungin"
(15)

Bofya Read More  kuendelea kusoma habari za wasanii wa Hip Hop hapa chini:



ICE CUBE


O'Shea Jackson (amezaliwa tar. 15 Juni, 1969), anajulikana sana kwa jina lake la kisanii kama Ice Cube, ni rapa wa Kimarekani, mwigizaji na pia mwongozaji wa filamu. Anatazamika kama ni msanii mkubwa duniani wa muziki aina ya hip hop.
Ice Cube alianza shughuli zake za kimuziki kama mmoja wa waanzilishi wa kundi la muziki aina ya hip hop maarufu kama N.W.A., baadae akaanza shughuli za kuimba muziki akiwa peke yake bila ushirika wowote ule huku kwa mbali anaigiza filamu, kitu ambacho kilimpa mafanikio makubwa sana. Mnamo mwaka wa 1992, akamuoa Kimberly Woodruff, kwa pamoja wamezaa watoto wanne.



Mwaka huo huo wa 1992, Ice Cube akabadili dini na kuwa mwislam. Kuanzia kati kati mwa miaka ya 1990 na kuendelea, Cube aliegemea sana katika shughuli za uigizaji, na shughuli zake za kimuziki zikawa zinafiriwa kama zina fifia kwakuwa hakuwa anaangaikia sana muziki kama alivyokuwa mwanzo.
Cube akabaki kuwa kama mmoja wa waonekanao kuwa ni marapa wa West Coast rappers, kwa kuwa alikuwa akitoa msaada mkubwa sana katika vikundi vya rap. Anafahamika hasa kwa uimbaji wake vile akizungumzia siasa na sela za kibaguzi, kwasababu nyimbo nyingi za Ice zilikuwa zikifiriwa kama tiba kwa watu weusi wa Marekani.

Maisha na muziki

Ice Cube alizaliwa kama O'Shea Jackson mjini South Central Los Angeles, Marekani, ni mtoto wa Doris, kalani wa hospitalini, na Andrew Jackson, ambae baadae alikuja kufanya kazi katika Chuo Kikuu cha California, Los Angeles (kwa Kiing: University of California, Los Angeles, kwa kifupi:UCLA).
Alizaliwa na kukulia mjini South Central Los Angeles. Akiwa na umri wa miaka kumi na sita, akawa na shauku saana na muziki wa hip hop, na akaanza kuandika nyimbo za rap akiwa shuleni huku akiwa anatumia kinanda cha darasani alipokuwa anasoma.
Alihitimu masoma yake katika tasisi ya teknolijia maarufu kama "Phoenix Institute of Technology" mwishoni mwa miaka ya 1987, na alisomea masomo ya kuchora ramani za majengo (kwa kiing: Architectural Drafting). Cube na rafiki yake wa karibu aitwae Sir Jinx, wakaunda kundi la muziiki lilojulikana kwa jina la C.I.A., wakaimba nyimbo flani hivi na baadhi ya sehemu katika nyimbo hiyo wakamshirikisha Dr. Dre.



Maelezo ya awali
Amezaliwa
Asili yake
Rap na Hip Hop
Kazi yake
Mmwanamuzi, mtaarishaji wa muziki, mtunzi, mwongozaji wa filamu na mtaarishaji wa filamu.
Miaka ya kazi
1984-mpaka leo
Ameshirikiana na
C.I.A., N.W.A.,. Public Enemy, Westside Connection, Da Lench Mob
Snoop Dogg, Crazy Toones, WC

 Albamu alizotoa

  • AmeriKKKa's Most Wanted (1990)
  • Kill at Will (EP) (1990)
  • Death Certificate (1991)
  • The Predator (1992)
  • Lethal Injection (1993)
  • War & Peace - Volume 1 (The War Disc) (1998)
  • War & Peace - Volume 2 (The Peace Disc) (2000)
  • Laugh Now, Cry Later (2006)

Filamu alizoigiza

  • Boyz n the Hood (1991) kama "Doughboy" Darin Baker
  • Trespass (1992) kama Savon
  • CB4 (1993) as himself in segment
  • The Glass Shield (1994) kama Teddy Woods
  • Higher Learning (1995) kama Fudge
  • Friday (1995) kama Craig Jones
  • Dangerous Ground (1997) kama Vusi Madlazi
  • Anaconda (1997) kama Danny Rich
  • The Players Club (1998) kama Reggie
  • I Got the Hook Up (1998) kama Gun Runner
  • Three Kings (1999) kama SSgt. Chief Elgin
  • Thicker Than Water (1999) kama Slink
  • Next Friday (2000) kama Craig Jones
  • Ghosts of Mars (2001) kama James 'Desolation' Williams
  • All About the Benjamins (2002) kama Bookum
  • BarberShop (2002) kama Calvin Palmer
  • Friday After Next (2002) kama Craig Jones
  • Torque (2004) kama Trey
  • BarberShop 2: Back in Business (2004) kama Calvin
  • Are We There Yet? (2005) kama Nick Persons
  • xXx: State of the Union (2005) kama Darius Stone
  • Are We Done Yet? (2007) kama Nick Persons
  • Pirate Island (2008)
  • The Extractors (2008)
  • First Sunday (2008)
  • Welcome Back, Kotter: The Movie (????) kama Gabe Kotter

Filamu alizoongozaj/kutaarisha na kutunga

  • Friday (1995) mtunzi, mtaarishaji
  • Dangerous Ground (1997) mtaarishaji
  • The Players Club (1998) mtunzi, mwongozaji na mtaarishaji
  • Next Friday (2000) mtunzi, mtaarishaji
  • All About The Benjamins (2002) mtaarishaji
  • Friday After Next (2002) mtunzi, mtaarishaji
  • BarberShop 2: Back in Business (2004) mtaarishaji
  • BarberShop: The Series (2005) mtaarishaji
  • Are We There Yet? (2005) mtaarishaji
  • Beauty Shop (2005) mtaarishaji
  • Black. White. (2006) mtaarishaji
  • Are We Done Yet? (2007) mtaarishaji
  • Friday: The Animated Series (2007) mtaarishaji
  • Pirate Island (2008) mtaarishaji
  • First Sunday (2008) mtaarishaji

Historia ya tuzo za filamu

Ice Cube alipokea tuzo mbambali za filamu kipindi cha nyuma na kuteuliwa kuwa mwigizaji bora wa filamu. Hivi kalibuni ameshinda tuzo mbili:
  • 2000: Blockbuster Entertainment Award: Tuzo ilitolewa kwa ajili ya filamu ya Three Kings
  • 2002: Tuzo za filamu za Makka (MECCA Movie Award) Tuzo ya uigizaji.
 


Tuzo za muziki


  • VH1 Hip Hop Honors 2006
    • 2006 Honoree
  • 2005 Tuzo ya muziki Soul Traid (Soul Train Music Awards)
    • Tuzo ya Lifetime Achievement (Lifetime Achievement Award)
  • 2000 Tuzo ya muziki wa Hip Hop (Hip Hop Music Awards)
    • Tuzo ya Lifetime Achievement (akiwa na Dr. Dre)

ALBUM
Lethal Injection ni albam ya Nne ya studio toka kwa Rapper wa California Ice Cube sawa na albam zingine za ma-rapa waliopita, ikiwa ni album iliyofanya vizuri kibiashara, ilipotambulishwa kwa mara ya kwanza ilikamata #5 katika albam kali 200 za Billboard na kuuza nakala 215,000 katika wiki la kwanza tangu kutolewa kwake. Hata hivyo ilikosolewa sana kwa kile ambacho wengi waliona kama albamu iliyojikita zaidi kwenye Mlengo wa kisiasa za kijamii kitu ambacho kilikuwa ndo juhudi za mwanzo za Ice Cube.
Ni moja kati ya Album zilizomuweka juu sana Ice Cube kwa wakati wote na ikijumulisha single kali kama vile  "You Know How We Do It", Funkadelic ambayo aliisample toka katika ngoma ya kitambo ya One Nation "Bop Gun (One Nation)",

Track list
  • Original Release
  1. "The Shot (Intro)" - (0:55) (Produced by Sir Jinx)
  2. "Really Doe" - (4:28) (Produced by Derrick McDowell, Lay Law)
  3. "Ghetto Bird" - (3:50) (Produced by QDIII)
  4. "You Know How We Do It" - (3:52) (Produced by QDIII)
  5. "Cave Bitch" - (4:18) (Produced by Brian G)
  6. "Bop Gun (One Nation)" (featuring George Clinton) - (11:17) (Produced by Ice Cube, QDIII)
  7. "What Can I Do?" - (4:10) (Produced by 88 X Unit)
  8. "Lil A*** Gee" - (4:04) (Produced by Sir Jinx)
  9. "Make It Ruff, Make It Smooth" (featuring K-Dee) - (4:23) (Produced by QDIII)
  10. "Down for Whatever" - (4:40) (Produced by Madness 4 Real)
  11. "Enemy" - (4:50) (Produced by Madness 4 Real)
  12. "When I Get to Heaven" - (5:04) (Produced by Brian G)
Released
December 7, 1993
Recorded
1992-1993
Length
56:21
QDIII, Madness 4 Real, Sir Jinx, Ice Cube


Year
Album
Chart positions
Top R&B/Hip Hop Albums
1993
Lethal Injection
#5
#1





KUNDI LA MUZIKI LA EPMD



EPMD ni kundi la muziki wa hip hop kutoka mjini Brentwood, New York huko nchini Marekani. Jina la kundi ni vifupisho vya majina ya wanachama wake ambapo "E" na "PMD" au kwa kirefu chake cha "Erick na Parrish Making Dollars" (baadaye "Erick na Parrish Millennium Ducats"), inataja wanachama wake, maemcee Erick Sermon ("E") na Parrish Smith  ("PMD").

Kundi limekuwa likifanyakazi kwa takriban miaka 20 hivi (1986–mpaka sasa),na ni moja kati ya makundi mashuhuri kwa upande wa East coast hip hop. Diamond J, DJ K La Boss, na DJ Scratch walipata kuwa Ma-DJ kwa ajili ya kundi hili.[1]

Neno la "business" linatumika katika jina la toleo la albamu ya kundi hili. Kila albamu pia ina wimbo wenye jina la "Jane".

Albamu walizotoa
Mwaka     Albamu                          
                                                       
1988        Strictly Business             
1989        Unfinished Business      
1990        Business as Usual         
1992        Business Never Personal
1997        Back in Business            
1999        Out of Business              
2008        We Mean Business        

EPMD
Maelezo ya awali
Asili yake         Brentwood, New York Marekani

Aina ya muziki         Hip hop
Miaka ya kazi         1986-1993
                                1997-1999
                                2006—

Studio     Fresh/Sleeping Bag Records
Priority/EMI Records
Def Jam/RAL/Columbia Records
Def Jam/PolyGram Records
Def Jam/IDJMG/Universal Records

Ameshirikiana na     Redman
        Das EFX
        K-Solo
        Frank D
        Hit Squad
        Keith Murray
        Kurtis Mantronik

Tovuti      myspace.com/therealepmd
Wanachama
Erick Sermon
Parrish Smith
Erick Sermon
Parrish Smith

Da Joint
"Da Joint" (wakati mwingine huandikwa "The Joint") ilikuwa single ya kwanza kutoka katika albamu ya EPMD, Back in Business. Wimbo umetayarishwa na Erick Sermon na Rockwilder, "Da Joint" umekuwa wimbo wa pili na wa mwisho kwa EPMD kuingia kwenye chati za Billboard Hot 100, kwa kushika nafasi ya 94. "Da Joint" ulitolewa wiki moja kabla ya albamu ya Back in Business, inaifanya kuwa toleo la kwanza jipya tangu kuunda upya kwa kundi la EPMD tangu single ya mwisho ya kundi mnamo 1992, "Head Banger".

Chati                                                       Nafasi
Billboard Hot 100                                     # 94
U.S. R&B / Hip-Hop                                 # 45
Hot Rap Singles                                      # 17
Hot Dance Music/Maxi-Singles Sales     # 5

Single ya EPMD Da Joint kutoka katika albamu ya Back in Business
Imetolewa                September 9, 1997
Muundo                   12-inch, Cassette, CD
Imerekodiwa            1997
Aina                         Hip hop
Urefu                       3:27
Studio                      Def Jam
Mtunzi                      Erick Sermon, Rockwilder
Mtayarishaji             EPMD

Back in Business
Back in Business ni albamu ya marejeo kutoka kwa kundi zima la muziki wa hip hop la EPMD, ambalo limevunjia kwa matatizo ya kibinafsi mnamo mwaka wa 1992. Baada ya kutoa albamu nne zenye mafanikio baina ya 1988 na 1992 (zote kati ya hizo zilihesabiwa kuwa za hali ya juu), lakini hao wakarudi tena ulingoni na kitu kipya chenye mafanikio. Kibao kikali cha "Da Joint" kimepata kuwa kibao chao kikali cha pili kuingia kwenye chati za Billboard Hot 100 kwa mwaka wa 1997.

Albamu ilitunukiwa Dhahabu na RIAA mnamo tar. 17 Novemba, 1997.


#      Jina                                 Watayarishaji                      Waimbaji
1      "Intro"                               Erick Sermon                           *Interlude*
2      "Richter Scale"                Erick Sermon      Erick Sermon, Parrish Smith
3      "Da Joint"                       Erick Sermon, Rockwilder     Erick Sermon, Parrish Smith
4      "Never Seen Before"       Erick Sermon                           Erick Sermon, Parrish Smith
5      "Skit"                              Parrish Smith                           *Interlude*
6      "Intrigued"                        Erick Sermon                           Erick Sermon, Parrish Smith, Das EFX
7      "Last Man Standing"        Parrish Smith, Erick Sermon   Erick Sermon, Parrish Smith
8      "Get wit This"                   Erick Sermon                           Erick Sermon, Parrish Smith
9      "Do It Again"                    Erick Sermon                           Erick Sermon, Parrish Smith
10    "Apollo Interlude"             Erick Sermon                           *Interlude*
11    "You Gots 2 Chill '97"      Erick Sermon, Parrish Smith   Erick Sermon, Parrish Smith
12    "Put On"   DJ Scratch       Erick Sermon, Parrish Smith
13    "K.I.M."    Erick Sermon   Erick Sermon, Parrish Smith, Redman, Keith Murray
14    "Dungeon Master"           Parrish Smith, 8-Off Agallah    Erick Sermon, Parrish Smith, Nocturnal
15    "Jane 5"   Parrish Smith   Erick Sermon, Parrish Smith
16    "Never Seen Before [Remix]" Erick Sermon                   Erick Sermon, Parrish Smith

Chati za albamu na nafasi zake
Mwaka             Albamu            Nafasi za chati
                                                Billboard          200 Top R&B/Hip Hop Albums
1997        Back In Business    #16 #4



UNAMJUA MSANII HUYU? Reviewed by Unknown on Sunday, November 25, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.