Top Ad unit 728 × 90

SLIM SAL NA MIZUKA YA KUITEKA RAP TANZANIA


Anafahamika kama SLIM SAL kijana anayekuja kwa kazi katika Game na mwenye ndoto za kubadili muziki na kuufikisha katika levo za juu kabisa. mbali na kuwa mwanamuziki pia ni producer mzuri ambaye amejikuta akimfurahisha maco chali kwa production za biti tamu na kali za kijanja kiasi cha kumfanya Maco Chali amsainishe katika Lebo yake pale pande za Mj Records . Ana ndoto nyingi sana za kuja kukamata game la kibongo na ni mtu ambaye hadi mda huu hajajua ni style ipi ya Muziki anayoifanya zaidio ya kudai kwamba yeye hafanyi Hip Hop wala hafanyi Bongo Fleva bali anafanya RAP akimaanisha Rhythm And Poetry  kwa maana kwamba yeye ni rapa ambaye anabadilika kutokana na beat atakayokutana nayo katika track husika.. hilo ameweza kulidhihirisha kutokana na track kadhaa alizozitoa ikiwepo Gidigidi aliyoitoa akiwa na kundi lake la N 0 Seven (N07) chini ya Producer JOVIN JIWE (Capital Rec Dodoma) ambayoo kwa sasa inafahamika kama 'Wanyausi Record' chini ya Producer Jaco Beats na vilevile track iliyopikwa pale pande za Togwe Rec kwa J Ryder akiwa na Crew yake tena ya N07 track inakwenda kwa jina la 'Murder Case' katika track hizi uwezo wake ndo umejionesha wazi kwamba yuko na ndoto za kufanya vizuri siku za mbele kwa kukata kiu za mashabiki waliokuwa wakisubiri kwa hamu muziki wenye swaga kama anaoufanya kijana.
Link ya hapa chini ni track yake mwenyewe "HATERS" ambao ni mkono wake mwenyewe katika biti ...

bofya hapa kudwnload ngoma hii....  

SLIM SAL NA MIZUKA YA KUITEKA RAP TANZANIA Reviewed by Unknown on Wednesday, July 18, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.