Top Ad unit 728 × 90

SEMINDE NA TRACK MPYA ‘NATAMANI’ TOKA PLAN B RECORDS

Seminde a.k.a Minde

Seminde ni Msanii anayekuja juu sana katika muziki wa Bongo Fleva na ni Zao linguine toka The Capital City Dodoma. Hapa anakuja na Track yake mpya kabsa na ya kwanza ambayo anaamini itamuweka juu sana katika Game.

Track hii imeandaliwa pale maeneo ya Kimara Suka katika Studio za Plan B Records Producer akiwa ni Mubbyzow ambaye ni producer wa ngoma ya Dogo Janja – Anajua.

Seminde anaomba Support toka kwenu Mashabiki coz anaamini kwamba bila ninyi yeye atakuwa bado hajafika popote so support yenu ndo msingi wa yeye kufikia malengo yake.

Trak hii kamshirikisha Juma Jazz na Sungura toka Tip Top.
Kwa muda huu ngoma bado inafanyiwa video na anawaahidi mashabiki kuipata mara baada tu ya kuwa tayari.

SEMINDE NA TRACK MPYA ‘NATAMANI’ TOKA PLAN B RECORDS Reviewed by Unknown on Sunday, July 22, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.