Top Ad unit 728 × 90

ZIJUE AINA ZA HIP HOP YA PWANI YA MASHARIKI NA PWANI YA MAGHARIBI

East Coast hip hop

East Coast hip hop ni jina la fomu ya muziki wa hip hop ambao unaasili na kukuzwa mjini New York City, Marekani, mwanzoni mwa miaka ya 1970 na 1980. Mtindo huu ulianza kujulikana hasa baada ya wasanii wengine kutoka sehemu mbalimbali za Marekani na kuongezea staili tofauti. East Coast hip hop ulifahamika sana kama ndiyo fomu halisi ya muziki wa hip hop.


West Coast hip hop

West Coast hip hop ni jina la kutaja aina ya muziki wa hip hop ambao umewazunguka wasanii wowote au muziki wowote wa hip hop wenye chimbuko la kanda ya magharibi mwa nchi ya Marekani. Japokuwa utamaduni wa muziki wa hip hop ulipewa jina lake huko mjini New York City, lakini bado huaminika na baadhi ya watu kwamba utamaduni ulijianzisha wenyewe kwa pande zote mbili, yaani, East na West coasts, kwa mtiririko sawa.

ZIJUE AINA ZA HIP HOP YA PWANI YA MASHARIKI NA PWANI YA MAGHARIBI Reviewed by Unknown on Thursday, July 19, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.