Top Ad unit 728 × 90

ADILI HISABATI arudi FACEBOOK baada ya account yake mtu kuihack

 
Mnamo tarehe 27 June kuna jamaa ali hack page ya Adili Hisabati na kumfuta kabisa katika facebook na maamuzi aliyoyafanya Adili nikuwasiliana na wamiliki wa facebook na walifuatilia na hadi huyo mtu amefahamika. 
Adili amesema ameamua kutomuweka wazi kwa sababu endapo mtu huyo akihudhurika basi moja kwa moja itaonekana kuwa yeye ndiye aliyepelekea jamaa kuvamiwa.
So anawaomba warafiki zake wote wamuadd upya kwa account yake hiyo kwa jina la Adili
ADILI HISABATI arudi FACEBOOK baada ya account yake mtu kuihack Reviewed by Unknown on Thursday, August 30, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.