Top Ad unit 728 × 90

TUNDA MAN ARUDIA VIDEO YA 'DEM SIO'


 Kama haufaham ni kwamba baada ya kupata malalamiko ya watu kwamba video ya kwanza aliyoitoa haikua nzuri, Mkali Tunda Man kutoka Tip Top Connection aliamua kufanya video nyingine mpya ya single ya “Dem sio” ambayo imetoka rasmi na tayari ipo mtandaoni kwa ajili ya mashabiki wake.

TUNDA MAN ARUDIA VIDEO YA 'DEM SIO' Reviewed by Unknown on Wednesday, August 29, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.