Top Ad unit 728 × 90

"AKUU!! MKOME!, MI SI MJAMZITO" ASEMA KERI HILSON


Keri Hilson ameweka wazi kupitia mtandao wa Twitter kukanusha ripoti ama taarifa zinazoanza kuzagaa kuwa yeye ni mjamzito.

Chanzo kimoja cha habari kuliutonya mtandao wa Media TakeOut kwamba mwanamuziki huyo anategemea kupata mtoto baada ya kugundua utofauti kwenye tumbo lake kwenye moja ya tukio jijini Atlanta.

Msemaji huyo anadai kwamba aligundua hilo baada ya kumkumbatia Keri na kuhisi kitu flani, akamuuliza... "Are you.....?!!! lakini keri mwenyewe akamnyamazisha kwa kumwambia "SHHHH!" kwa maana kwamba aweke usiri ktk hilo, na mtandao huo ukawa umenukuu chanzo hicho.

Kupitia Twitter Keri aliamua kukanusha kwa kuandia.... "I am NOT pregnant *runs to the gym* why the f**k sayin that?" "Rumors people, rumors. Damn! Let a sista live *wink*"
"AKUU!! MKOME!, MI SI MJAMZITO" ASEMA KERI HILSON Reviewed by Unknown on Friday, August 24, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.