Top Ad unit 728 × 90

AY NA 2 FACE LEO NADNI YA NYAYO STADIUM KENYA

Pichani ni AY msanii kutoka Tanzania pamoja na Beatrice Gachagwi yeye ni TV Producer/Director/Presenter kutoka NTV Kenya pamoja na 2Face from Nigeria.

Leo tarehe 25 ndio ile show kali ambayo inafanyika pande za Nairobi jukwanii tukiwakilishwa na AY na kutoka pande za Congo ni Papaa Wemba na pande za Nigeria itawakilishwa na 2Face. Show hiyo itapigwa viwanja vya Nyayo Nairobi Kenya.
AY NA 2 FACE LEO NADNI YA NYAYO STADIUM KENYA Reviewed by Unknown on Saturday, August 25, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.