Top Ad unit 728 × 90

PRODUCER JOVIN JIWE ASAKA VIPAJI DODOMA!

Producer Jovin Jiwe

Producer mkali mjini Dodoma yupo katika mbio za kuanza kutafuta vipaji vya Vijana wanaoweza muziki wa aina zote ili aweze kuwasaidia na kuwafanya kufikia malengo yao. Producer huyo ambaye kazi zake Dodoma anafanya vizuri na ngoma akuziwafanyia wasanii tofauti tofauti wa mkoani hapa kama Slim Sal, Jukey 'The Tanzanian Dream' pamoja na muigizaji Niva ambaye pia kwa sasa anafanya na Music pia, pamoja na msanii nayekuja kwa kasi sana katika muziki wa Hip Hop Shizzo Rhymes.

Vile vile Producer Jovin jiwe amefanya Gospal Album ya Msanii mkubwa alikuwa katika bongo flavor kwa sasa anafanya muziki wa Injili STARA THOMAS ambapo baadhi ya nyimbo hizo zilishaanza kusikika hewani.

Ukitaka kumpata Producer Jovin Jiwe mtafute kwa simu namba: 0714 778477 pia kwa Email - mulisajovin@yahoo.com
PRODUCER JOVIN JIWE ASAKA VIPAJI DODOMA! Reviewed by Unknown on Saturday, August 25, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.