Top Ad unit 728 × 90

AUNT LULU AIKIMBIA BONGO

KATIKA hali ya kushangaza, Mtangazaji maarufu Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa atatimka nchini kwenda kuishi kusikojulikana.
Akizungumza na kona ya Mbovumbovu za Mastaa juzikati jijini Dar, Aunt Lulu alifunguka kuwa ameamua kukimbia mji kwani amechoshwa na manenomaneno ya walimwengu jijini.
“Nimechoshwa kwa kweli na kwa kuwa mipango yangu ya kuchomoka imetimia, acha nitimke Bango angalau nikapumzike kidogo nje ya hapa,” alisema Aunt Lulu pasipo kutaja anakotimkia.
AUNT LULU AIKIMBIA BONGO Reviewed by Unknown on Tuesday, August 28, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.