Top Ad unit 728 × 90

Msechu kuwakilisha kwa OBAMA!

Msanii wa muziki wa kizazi kipya bongo, Peter Msechu, ameelekea nchini Marekani kuwawakilisha wasanii wa Bongo kwenye mkatano mkuu wa jumuia ya watanzania wanaoishi nchini Marekani ‘BICOTA’ mkutano utakaodumu kwa siku tano.
Msechu anakuwa ni msanii wa pekee kuhudhuria mkutano huo ambao lengo kubwa ni kujadili mambo madogo magodo yanawasumbua watanzania ili kuweza kujua namna watakavyo yatatua, kwa njia ya kutoa misaada wa elimu na mambo mengine kulingana uwezo wao.
Hata hivyo safari hiyo itahusisha mambo mengi kama vile show pamoja na ratiba nyingine za kutosha.
Msechu kuwakilisha kwa OBAMA! Reviewed by Unknown on Tuesday, August 28, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.