Top Ad unit 728 × 90

BABA KANUMBA AIBUKA KIVINGINE

Mzee Charles Kusekwa Kanumba
 TAKRIBANI miezi minne na siku kadhaa baada ya mwanaye, Steven Charles Kanumba ‘The Great’ kuaga dunia, baba yake mzazi, Charles Kusekwa Kanumba ameibuka kivingine akidai kuwa kuna baadhi ya watu wamekuwa wakitumia jina lake ili kupata umaarufu.
Mzee Kanumba aliiambia Bongowood kuwa hivi karibuni aliibuka kijana aliyejitambulisha kwa jina la Stephano Charles Kanumba akidai kuwa ni mtoto wake ndipo baba Kanumba akaona isiwe ishu, bora aweke bayana kwamba hamfahamu bali anatafuta umaarufu kupitia jina lake.
BABA KANUMBA AIBUKA KIVINGINE Reviewed by Unknown on Monday, August 27, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.