Top Ad unit 728 × 90

TEDDY KALONGA ANAMKUBALI NGWEA HADI LEO HII!




Ghetto Langu, She got a gwan, Kimya Kimya na CNN ni baadhi tu ya nyimbo zinazodhihirisha uwezo mkubwa usio na mfano wa rapper Albelt Mangwea aka Mimi. Sasa hivi anajulikana pia kama CowObama na uwezo wake uko pale pale licha ya kuslow down kiaina.

Nani asiyeujua uwezo wake rapper huyu katika uandishi wa mashairi matata na swag za hatari katika uwasilishaji wa similes na metaphors kwenye ngoma zake? Kwa watanzania waliohamia nchi za nje miaka mitano ama zaidi iliyopita hawajausahau utemi wa rapper huyu mwenye kipaji cha kuchana mitindo huru.


Miongoni mwao ni Teddy Kalonga aka TK, mwanamitindo wa kimataifa, mtangazaji na msanii wa sauti (voice over artist) aishiye Marekani kwa sasa.

Kwake yeye, Ngwair ni miongoni mwa rappers wakali aliowahi kuwafahamu.


“You are one of The very few original rappers I know! You are THE |Brand|,” TK alitweet hivyo kumwambia Ngwair
CowObama


TEDDY KALONGA ANAMKUBALI NGWEA HADI LEO HII! Reviewed by Unknown on Monday, August 27, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.